Education Out Loud ni mfuko wa Global Partnership for Education kwa ajili ya utetezi na uwajibikaji kijamii. Mfuko huu unasaidia mashirika ya kiraia kuwa hai na yenye ushawishi katika kuunda sera ya elimu ili kukidhi vyema mahitaji ya jamii, hasa ya watu walio katika mazingira magumu na waliotengwa.
Ilisasishwa tarehe
12 Des 2023