Jifunze Kikorea kutoka lugha asilia 61, bure na nje ya mtandao, ukiwa na FunEasyLearn.
Jifunze KUSOMA π KUANDIKA β na KUONGEA Kikorea π¬
Gundua njia inayoburudisha na rahisi ya kujifunza kanuni zote za usomaji, maneno yote utakayohitaji na virai vyote muhimu katika lugha ya Kikorea.
π Yaliyomo
β’ Maneno 6,000 ya Kikorea (yanayoendelea kuongezeka): nomino, vitenzi, vivumishi vitumikavyo zaidi, n.k., vilivyoainishwa kwenye ngazi 10 na masomo 200;
β’ Virai 1,250 vya Kikorea (vinavyotumika mara kwa mara): virai muhimu zaidi kwa ajili ya maongezi ya kila siku na safari, vilivyoainishwa kwenye ngazi 7 na masomo 120.
Panua msamiati wako kwa kujifunza maneno, sentensi na misemo kwa wajifunzaji wanaoanza, wa kiwango cha kati na wa kiwango cha juu.
π Je, kwa nini ujifunze Kikorea kwa kutumia FunEasyLearn?
FunEasyLearn inaleta mapinduzi ya ujifunzaji wa lugha. Timu yetu ya wataalamu wa lugha na walimu imetengeneza mkakati wa kipekee wa ujifunzaji wa lugha. Siri ipo katika kuunganisha alfabeti pamoja na kanuni zote za usomaji, maneno yote muhimu na kamusi ya virai yenye tija kwenye programu-tumizi moja. Jambo hili linawawezesha watumiaji wetu kusoma neno au kirai, kukitamka kwa usahihi, kukihusisha na mchoro na kufanya mazoezi kwa kutumia michezo ya kusikiliza, kuandika na kuongea.
π Vipengele vikuu
Picha za kuchorwa na mkono β kariri msamiati mpya kwa haraka kwa kutumia michoro ya kupendeza;
Sauti zilizorekodiwa kitaalamu β sikiliza sauti zilizorekodiwa na waongeaji asilia;
Takwimu za kina β tathmini matokeo yako na fuatilia upigaji hatua wako;
Mfumo wa mapitio β pitia kila kitu unachojifunza;
Utafutaji erevu β tafuta kwa haraka maneno na virai unavyohitaji;
Ficha kile unachokifahamu
Utambuzi wa matamshi β boresha matamshi yako;
Nje ya mtandao β tumia programu-tumizi hii popote duniani, bila ya muunganisho wa intaneti.
πΌ Kikorea kwa ajili ya biashara
Pata ufikio wa masomo maalum ya Kikorea yaliyoandaliwa kwa ajili ya biashara yako. Tunatoa kozi maalum kwa madereva wa teksi, wafanyakazi wa hoteli na migahawa, wahudumu wa ndege, wasaidizi wa madukani, n.k.
β Kikorea kwa ajili ya safari
Jifunze jinsi ya kuweka oda ya chumba cha hoteli, kutoa oda ya mlo kwenye mgahawa, kuomba kuelekezwa sehemu, kufanya maongezi na kuongea kwa kujiamini pamoja na waongeaji asilia.
π Kikorea kwa ajili ya watu wazima
Tunarekebisha maudhui husika kulingana na umri wa mjifunzaji. Wewe pamoja na mtoto wako mnaweza kujifunza Kikorea na kuburudika.
Jisajili Bure kwenye FunEasyLearn
Jisajili BURE, kwa kutumia maua unayoyapata wakati wa michezo ya kujifunza lugha.
Jifunze Kikorea, cheza bure! Ni haraka na rahisi. π΄
π₯ Pakua kozi ya Kikorea ya FunEasyLearn hivi sasa!
Pendekeza programu hii kwa rafiki zako na upate zawadi.
Tukadirie na andika maoni yako βββββ Itakuwa jambo kubwa sana kwa timu yetu!
Wasiliana nasi:
https://www.FunEasyLearn.com/
Ilisasishwa tarehe
31 Okt 2024