Cheza, jifunze na kuzungumza – gundua virai vya kawaida vya mazungumzo ya Kislovakia!
✔ Virai 5,000 muhimu vya mazungumzo.
✔ Kujifunza Kislovakia kwa lugha yako ya asili (lugha 60 zinapatikana).
✔ Programu-tumizi bora zaidi ya BURE ya kujifunza haraka.
Zungumza Kislovakia kwa ufasaha katika mazungumzo halisi
Ukiwa na programu-tumizi ya Kujifunza Kislovakia, unaweza sasa kutafiti virai 5,000 vya Kislovakia ya mazungumzo mafupi huku ukijiburudisha kabisa! Ikiwa wewe ni mtalii aliye katika likizo katika nchi inayozungumza Kislovakia au pengine wewe ni mtu anayetaka kuongea lugha ya kigeni, programu-tumizi hii itakusaidia kujifunza virai vya Kislovakia kwa njia ya haraka, iliyo rahisi na ya kufurahisha.
Kwa nini programu-tumizi yetu ya BURE ni tofauti
✔ Hakuna muunganisho wa tovuti unaohitajika – cheza popote utakapo na wakati wowote unaotaka (nje ya mtandao).
✔ Virai 5,000 vya kawaida – sauti iliyorekodiwa ya matamshi na unukuzi kifonetiki ili kukuonyesha jinsi mzungumzaji asili kutoka Slovakia kweli hutamka.
✔ Michezo 11 ya kufurahisha – njia bunifu ya kufanya mazoezi ya ujuzi wako wa kusikiliza, kuandika na kuzungumza.
✔ Viwango 4 vya kujifunza: anayeanza, wastani, aliye juu kiasi na mtaalam
✔ Mada 20 iliyogawanywa katika mada ndogo 145 – hivyo utajua la kusema na wakati wa kusema kila kirai.
Mada za mazungumzo ya Kislovakia: Maamkuzi, Mazungumzo na marafiki, Sentensi za msingi, Usafiri, Uchukuzi, Hoteli, Mkahawa, Vyakula, Ununuzi, Kazi, Biashara nk.
Vipengele vingi zaidi vya kuboresha msamiati wako wa Kislovakia
✔ Tafuta na kualamisha misemo yako ya kawaida kutoka kwenye kitabu cha misemo.
✔ Jipatie pointi wakati ukiendeleza ujuzi wako wa Kislovakia.
✔ Kipengele cha "kategoria za bila mpango maalum" kinakuruhusu uteu mada, mada ndogo na mchezo bila mpango maalum.
✔ Lugha 60 – ili uweze kukariri na kusema kila kirai kwa urahisi bila kujali nchi uliyotoka.
Kuhusu FunEasyLearn:
FunEasyLearn imeendeleza programu-tumizi nyingi ili kuwasaidia watu duniani kote kujifunza lugha za kigeni bila malipo. Programu-tumizi za FunEasyLearn huboresha ujuzi wako wa Kislovakia: kuzungumza, kusikiliza na sarufi. Kamusi ya programu-tumizi ina matamshi ya sauti ya binadamu kwa kila kirai cha maneno ya kawaida ili kuboresha ujuzi wako wa kuongea lugha ya kigeni.
Zungumza Kislovakia kwa urahisi na kwa ufasaha kwa ajili ya usafiri, biashara au burudani!
Ilisasishwa tarehe
22 Okt 2024