Haya Audio Bible

100+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Hii ni App maalum kwa watu wanaopenda kusoma Neno la Mungu kwa lugha mbalimbali ili kuelewa undani na kwa ufasaha. Lugha tatu (3) zilizopo ndani ya App hii yaani Kiswahili, Kihaya na Kingereza zinatoa maelezo mazuri ya kuelewa Neno la Mungu. Si hivyo tu bali pia unaweza kusikiliza Neno la Mungu kwa Lugha zote 3 na kutazama video mbalimbali katika zote 3. Pia unaweza kusoma Biblia hii katika lugha zote 3 kwa wakati mmoja au ukasoma tafsiri moja kwa wakati mmoja kulingana na kuweka utakazozitaka wewe mwenyewe. Ubarikiwe kwa kuchagua App hii.
Ilisasishwa tarehe
13 Mac 2023

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Data haijasimbwa kwa njia fiche
Data haiwezi kufutwa