Watoto Kuchora & Kupaka Rangi

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.3
Maoni elfu 1.47
1M+
Vipakuliwa
Zimeidhinishwa na Walimu
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Michezo ya kuchora kwa watoto! Michezo ya kujifunza kwa watoto wa shule ya awali ambapo watoto wanaweza kuchora na kupaka rang. Fanya michoro mizuri ya watoto na uitazame ikiwa hai! Michezo ya kupaka rangi iliyojaa furaha na michezo ya kuchora kwaajili ya watoto.

Furahia zaidi ya michezo 80+ ya kuchora kwaajili ya watoto na pia michezo ya kupaka rangi kwa watoto na toddler. Njia ya kusisimua kabisa kwa watoto na toddler kuweza kuchora na kupaka rangi. Kurasa hizi za watoto za kuchora na kupaka rangi ni rahisi kwa watoto kufuata mstari wa alama na kuchora. Tengeneza michoro mizuri ya watoto kwa njia ya hatua kwa hatua. Michezo hii ya kujifunza shule ya awali ni mahususui kwa watoto wenye umri wa miaka 2 hadi 6.

Kuza ustadi wa mikono,ubunifu, na mawazo ya watoto na toddler wako. Jifunze kuchora wanyama, magari, vinyago na zaidi. Chagua wanyama au wadudu au vitu uvipendavyo kutoka makundi 8 ili kuchora na kupaka rangi.

Kurasa za Watoto za Kuchora & Kupaka Rangi zina:
- Michezo ya Kuchora na kupaka rangi ya Dino kwaajili ya Watoto
- Michezo ya Kuchora na Kupaka Rangi Chini ya Maji
- Asili Kurasa za Kuchora na Kupaka Rangi
- Michezo ya Kuchora Wanyama
- Jifunze Kuchora Mdudu na Kurasa za kupaka rangi
- Kuchora Ndege na Michezo za kupaka rangi
- Michezo ya Kuchora Magari
- Kuchora Toi na Michezo ya Kupaka Rangi

Watoto na toddler wenye umri wa miaka 2 hadi 6 wanaweza kufurahia michezo hii ya kuchora na kupaka rangi. Waweke watoto wako na toddler wakijishughulisha na michezo ya kujifunza ya shule ya awali. Watoto na toddler watajifunza kuchora na kupaka rangi na kuuonyesha ubunifu wao. Angalia mchoro wao ukiwa hai! Pakua sasa!
Ilisasishwa tarehe
28 Mei 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Kifaa au vitambulisho vingine
Data haijasimbwa kwa njia fiche
Data haiwezi kufutwa
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play

Ukadiriaji na maoni

4.6
Maoni elfu 1.19

Mapya

Introducing the Alphabet and Number Coloring Page in the Drawing World! Get ready to combine creativity with learning in an exciting new way. Update your app today to ignite the curiosity and creativity of young minds while they learn their ABCs and Numbers!