Michezo ya Bodi ya Ludo

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.3
Maoni elfu 38.9
10M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Umri wa miaka 10+
Furahia mchezo huu bila malipo, pamoja na mamia ya michezo mingine bila matangazo wala ununuzi wa ndani ya programu, ukitumia usajili wa Google Play Pass. Pata maelezo zaidi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Tunatambulisha mtazamo mpya wa michezo ya Ludo. Mchezo huu wa kufurahisha wa ubaoni haufanani na mchezo wako wa kawaida wa dhumna. Huu ni moja ya mchezo wako pendwa katika michezo ya ubaoni kipindi cha utotoni katika MUONEKANO mpya!

ni mchezo wa wachezaji wengi ambao unafaa kwa watoto na wakubwa. Jiunge na mashujaa hawa kuwashinda maadui na uwe mfalme wa mchezo huu.

Cheza mchezo wa Ludo katika aina 4 tofauti BURE:





Wasifu wa app hii ambao utafurahia zaidi:

Namna ya Wachezaji Wengi Bila Mtandao
Ludo mania ni mchezo wa ubaoni wa dhumna unafaa kwa watoto na wakubwa. Unaweza kufurahia mchezo huu bila mtandao ukiwa na marafiki na familia - muda wowote, mahali popote. Shindana na wengine na uwashinde katika mchezo huu wa kifalme!

Shindana na Shirikiana
Mchezo huu ni wa kushindana kuanzia kwanzo. Usiwaache maadui zako washinde taji na kuwa wafalme. Kanuni ni kama mchezo ule wa asili. Ludo mania unakuhakikishia raha na furaha kwa kila mtu!

furahia Uhuishaji wenye aina ya 3D
mashujaa wote katika mchezo huu wana uhuishaji bora wa kupendeza. Mchezo wa kale wa Ludo pia unapata mwonekano mpya wa 3D ndani ya mchezo wakustaajabisha wa watu wengi.

Mtazamo Mpya wa Mchezo Maarufu
Mchezo huu ni tofauti sana na michezo mingine ya dhamna. Ludo mania umechukua mchezo wa asili wa mchezo wa ubaoni wa Ludo na umeufanya uwe wa kufurahia zaidi kucheza kila siku!

kwahiyo zungusha dhumna na uanze safari katika kupata taji. Kuwa mshindi leo! Pakua sasa!!
Ilisasishwa tarehe
14 Jan 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Shughuli za programu, Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

4.3
Maoni elfu 36.4

Mapya

Pozdravljeni ljubitelji ludo! V tej novi posodobitvi so vse napake odpravljene in aplikacija je nastavljena tako, da vam nudi neverjetno izkušnjo! Srečno igranje!