" Jenga ujuzi wa kufikiria wa mtoto wako na ukuze ujuzi wa uchunguzi kwa pazzo kwaajili ya watoto na toddler! Pazzo za watoto ni za kuelimisha na zimejaa furaha. Cheza na dino na fumbua pazzo za jigsaw kwa watoto na toddler. Watoto watajifunza kuhusu Wadudu, Anga Shamba, Chini ya maji, Misitu, Ujenzi, Mji, Wanyama, Jangwa, na zaidi! Watoto watapenda hii michezo ya pazzo za elimu !
"
Mkusanyiko wa vipande vya pazzo za picha za kupendeza kwaajili ya watoto na mapendeleo mwengi ya watoto kama magari, matunda, mboga, upinde wa mvua, mimea, miti, malori, vyombo vya angani, wanyama, na vingine vingi. Pazzo za watoto hawa ni nzuri kwa toddler mwenye umri wa miaka 2, 3, 4, 5.
Watoto watacheza na kujifunza nini?
Jigso Pazzo
Kulinganisha Kivuli
Tangrams
Kuainisha kwa Maumbo
Kuainisha kwa ukubwa
Pazzo kwa watoto na toddler imejumuisha mandhari zifuatazo::
1) Msitu - Nenda msituni na marafiki. fumbua pazzo za jigso za wanyama kwa watoto. Gundua nyani, dubu, panda, na wanyama wengine njiani. Pazzo za kusisimua za hema kwa watoto na toddler na kukaa ndani! Washa moto na uvumbue pazzo za watoto za nyumba ya miti!
" 2) Anga - Vaa nguo ya wana anga na upae kwenye pazzo yako ya ndege. Kutana na mwanaanga na roboti. Angalia Dunia, Jua na Sayari na Satelaiti na pazzo za anga kwa watoto! Kamilisha pazzo za UFO, Roketi, Mwezi, Kituo cha Anga, Nyota na zaidi. Mafumbo mengi ya watoto kuunda darubini, helmeti za wanaanga, runinga ya angani, na kimondo.
"
3) Shamba - Panda trekta na uende kwenye safari ya shambani. Pata pazzo za watoto za wanyama kama farasi, nguruwe, mbwa, na zaidi. Tengeneza kinu cha upepo, kisima, na uzio na pazzo za kusisimua za jigso kwa watoto na toddler.
4) Bahari - Zamia baharini na uvumbue ulimwengu ulio chini ya maji! Kutana na kobe, kaa, na samaki kwa kutatua pazzo za kufurahisha kwaajili ya watoto. Vumbua farasi wa baharini, pomboo, samaki, na vifua vya hazina. Jaribio la pazzo ya watoto yenye kusisimua kwa watoto wa miaka 2, 3, 4, 5.
" 5) Anga - Ruka kwenye ndege! Jiunge na pazzo za ndege kwa toddler. Cheza na pazzo za toddler kama vile mawingu na baluni za moto za angani.
"
6)Eneo la Ujenzi - Jiandae kwenye ujenzi mpya ndani za sare ya ujenzi. Kamilisha pazzo za malori ya kumwaga, kreni, za kuchanganya saruji. Puzzle za gari kwaajili ya watoto! Furahiya mafumbo ya nyundo, mashine za kuchimba visima, madaraja. Puzzo kwa toddler wenye umri wa miaka 2-5 kujifunza na kufurahiya!
7) Mji - Zunguka mji wa dino na marafiki. Jiachie kwenye bustani na ukamilishe pazzo ya aiskrimu kwa watoto. Vumbua maduka, vituo vya polisi, na vituo vya mabasi. Tengeneza vikosi vya kuzima moto, magari, na nyumba ukiwa na pazzo kwaajili ya watoto.
8) Wadudu - Furahiya na wadudu! Tengeneza vipepeo, konokono, na nyuki wa asali ukiwa na pazzo ya toddler. Unda maua, nyumba za uyoga, na kichuguu ukiwa na pazzo kwaajili ya toddler na watoto wenye umri wa miaka 2-5.
9) Jangwa - wasalimu marafiki wa jangwani! Jiunge na pazzo za wanyama kukamilisha pazzo za ngamia, farasi, tai. Vumbua dundusi kakasi, minazi, na visima. Jenga piramidi, hema, na moto ukiwa na pazzo ya toddler kwaajili ya watoto wa miaka 2, 3, 4, 5.
10) Mji wa Pipi - Ingiza ulimwengu wa maajabu wa Mji wa Pipi! Endesha gari la pipi, tengeneza donuts za kupendeza, aiskrimu, na keki ukiwa na pazzo za jigso za mtoto. Kamilisha pazzo za toddler kama pazzo za keki, pazzo za yunikoni kwaajili ya watoto, na nyumba za pipi.
Unasubiri nini? Haraka, pakua pazzo hizi kwaajili ya watoto sasa!
Ilisasishwa tarehe
31 Mac 2024