Uza na nunua bidhaa na huduma katika soko linalokua kwa kasi zaidi nchini Tanzania.
Kwa kutumia Nirushie App unaweza kufanya vifuatavyo:
★ Kwa urahisi tafuta na angalia bidhaa zilizopo.
★ Angalia bidhaa zilizopo karibu na wewe.
★ Tuma meseji za BURE kwenda kwa wauzaji au wanunuzi ukiwa ndani ya App..
★ Ongeza faida zaidi, kwa kuweka mahali bidhaa inapopatikana, ili watu walio karibu wakuone kirahisi.
★ Pata taarifa pindi watu wanapoweka maoni kwenye bidhaa zako.
★ Tengeneza listi ya bidhaa uzipendazo.
★ Tengeneza profaili nzuri inayovutia kuendana na wewe au kampuni yako.
★ Andika maoni kwenye bidhaa zilizokuvutia.
Imarisha biashara yako zaidi kupitia Nirushie App, INSTALL SASA ugundue thamani halisi ya biashara yako.
Ilisasishwa tarehe
24 Des 2017