Sasa unaeza piga risasi na ulipue virusi kabisa. Tumeambiwa tukae pahali salama, kwa hivyo piga virusi risasi mahala ulipo. Kuwa mwangalifu, virusi huenea haraka na machafuko huzidi. Lipua virusi vyote na ushinde!
Xyrus Blasters imetengezwa kama michezo za ukumbi za zamani lakini kwa kutumia muundo wa kisasa. Ina viwango ishirini na tano na ugumu wa kila kiwango huongekeza unapocheza.
Ilisasishwa tarehe
23 Ago 2025