ShazzleChat

4.2
Maoni elfuĀ 4.42
elfuĀ 500+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Vijana
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

ShazzleChat ni programu ya faragha, haraka, na rahisi kutumia katika kupiga simu na kutuma ujumbe. Tuma ujumbe au picha, piga simu za sauti na video kwa usalama. Unapokuwa na mashaka kuhusu data na mawasiliano salama kwa ajili ya matumizi yako na familia yako. Kila ujumbe unao tuma unabaki kuwa kati yako na mwenzako anayepokea. Simu zetu za sauti na za video ni salama kati ya wawili hao, zikiwa zimefungwa kwa teknolojia ya mtu kwa mtu ya Shazzle.

Programu yetu ni rahisi kupakua bila kujisajili wala matangazo. Wasiliana na rafiki, familia na wafanyakazi wenzako: piga simu za sauti na za video kwa muundo wa HD!
Hakuna haja ya kuwa na wasiwasi kwamba mtu anaweza kusoma ujumbe wako au kusikiliza simu zako.
Teknolojia yetu ya kutuma ujumbe inatoa jukwaa lenye kutoa madaraka ambapo kila simu janja huwa mtandao wa faragha wa mtumiaji. Tuna muunganisha mtumaji na mpokeaji, tukitengeneza mfereji ambao kwa huo watumiaji wanaweza kushirikishana maudhui na kupiga simu. Rekodi ya udhibiti ya maudhui ya ujumbe haipo. Kwa msaada wetu unaweza kuwasiliana na marafiki zako kwa haraka.
Siku zote tunajitahidi kuboresha bidhaa zetu, kuzifanya kupatikana kwa urahisi na kutumika kwa urahisi. Kama una maoni au mapendekezo yoyote, tafadhali tutumie barua pepe katika support@shazzle.com.
Hapa chini ni leseni za Google zinazo kuruhusu kujifunza zaidi kuhusu teknolojia hii:
US20090037211A1
US20150081567A1
US20120265828A1
US20120110322A1
US20150134948A1

Tunakuunganisha na rafiki zako na wafanyakazi wenzako bila kutunza jumbe zako katika seva yoyote. Data zako zote zitapatikana katika chombo chako tu!
Faragha yako ni kipaumbele chetu cha juu!
Ilisasishwa tarehe
30 Ago 2022

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Taarifa binafsi
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Taarifa binafsi, Anwani na nyingine2
Data haijasimbwa kwa njia fiche

Ukadiriaji na maoni

4.2
Maoni elfuĀ 4.28

Mapya

What's New:

Our development team has fixed some bugs and improved the overall performance of the app, now our users won't face any problems!