Muumba wa Video ya Muziki

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.0
Maoni elfu 27.2
5M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Ni kifaa kibunifu kinachoshangaza cha kutengeneza video ya muziki na pia Slideshow kinachoweza kufanya picha zicheze kulingana na uzani unaochagua na kwa hivyo unatangeneza video murua ya muziki inayoambatana na picha.

Unachohitaji tu ni kuchagua picha na muziki upendao, halafu unatap na mdundo wa mziki!
Ukiwa na TapSlide, unaweza kuwa mweka-kumbukumbu unayeweza kubadilisha picha za thamani. Eleza hadithi yoyote unayotaka. Tuma picha za nyama choma ukiwa kwenye ua, picha kadha wa kadha ukiwa kwenye safari ambayo hutawahi kuisahau, ama mamia ya picha za harusi.

Vipengele vinavyoshangaza za TapSlide-Kifaa kinachobuni Video za muziki na pia Slideshow
Unaweza kuongeza muziki kutoka kwa maktaba yako ama yetu ya muziki.
Unaweza kuchagua mkusanyiko kutoka kwa picha mbali mbali.
Usuli shwari wa kufanya video yako ya muziki ikae kama sinema.
Vipengele muhimu vya picha nzuri vinawasilishwa.
Ongeza maneno kwenye picha na uunde video ama slideshow ikiwa na maelekezo. Kuna font nyingi za kuchagua. Pia unaweza kubadili rangi ya maelekezo.
Ongeza adhimu ndani na nje. Wape nafasi watazamaji walenge pahali unapotaka.
Hifadhi kazi na rasimu zako kwenye studio, ni rahisi kuzipata.

Hatua nne tu za kubuni video ya muziki/slideshow
1. Chagua picha
2. Chagua muziki
3. Tap na uzani kudhibiti picha.
4. Hifadhi

Kifaa chetu cha kubuni video za muziki ama slideshow kinaenda zaidi ya kuweka kumbukumbu na kukusaidia kueleza hadithi za maisha na kusherehekea watu, matukio na kumbukumbu unazothamini. Uhuishaji unaoshirikisha unaongeza kina na mwelekeo, unafikisha hisia na muktadha na kujenga hamu ndiyo uonyeshe picha zako spesheli.

TapSlide-inayobuni video za muziki na Slideshow si kifaa chochote cha kawaida, lakini pia inakuletea burudani kama mchezo wa uzani. Ni ya kuchekesha, rahisi kutumia, na haiachi juhudi ndiyo ibuni video kamili ya muziki.

Kama una maoni ama swali lolote, tafadhali tutumie barua pepe kupitia :
tapslide_support@enjoy-mobi.com
Ilisasishwa tarehe
23 Nov 2023

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Shughuli za programu, Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

4.0
Maoni elfu 25.4

Mapya

1. Kazi iliyoongezwa: usindikaji wa video otomatiki kulingana na rhythm
2. Rekebisha makosa