Chukua kozi za mafunzo ya Biblia bure ya Shepherd Global Classroom. App yetu itakusaidia kukuongoza kusoma kozi zetu, kuandika vidokezo vya darasani , kukamilisha mazoezi, na mengine bila gharama! Mtaala wa SGC una fundisho na vitendo muhimu kwa mafunzo ya kiongozi mkristo, na ni nyenzo rahisi kwa mchungaji na mishenari ambaye ana shauku ya kuwa na mafunzo yaliyopangiliwa, aliyorasmi na yasiyo rasmi, katika mazingira yeyote. Lengo letu ni kutoa mtaala kwa viongozi wa kikristo wanaojipuka ulimwenguni kote. Maono yetu ni kuona nyumba, migahawa, na hata miti ya vivuli inageuzwa kuwa “madarasa” mahali ambapo waamini  waaminifu  wanafanywa wafuasi na kutumwa kwenye mavuno.
Ilisasishwa tarehe
6 Jun 2025