Maktaba ya Dijitali ya UNITAMA hutoa mikusanyo mbalimbali ya kidijitali, hasa inayohusiana na teknolojia ya habari na utumiaji kompyuta ambayo ni rahisi kupatikana popote na wakati wowote kwa kupakua tu programu ya maktaba ya kidijitali kupitia playstore ya simu ya mkononi ya Android.
Ilisasishwa tarehe
17 Jun 2024