Tafsiri wa Lugha iGlot

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.6
Maoni elfu 178
10M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Tafsiri bila malipo - Translator - Mfasiri - Kitafsiri

Tafsiri kwa urahisi lugha zinazozungumzwa zaidi nchini Tanzania, Rwanda, Kenya, Uganda, Burundi, Kongo, Msumbiji, Somalia:

Kiswahili, Kiingereza, Kiarabu, Kifaransa, Kiganda, Kireno, Kitsonga, Kilingala & lugha zaidi!

Una matatizo yoyote katika kuwasiliana? kusafiri? masomo? Pakua zana moja bora ya Google Play, iGlot.

Sasa unaweza tafsiri kutoka lugha 100 tofauti wakati wowote utakao, kwenye simu ya mkononi au kompyuta kibao chako! Ni rahisi, andika tu maneno au sentensi ambayo ungependa kutafsiri, chagua lugha asilia na lugha lengwa kisha ubonyeze kitufe cha‘’Translate’’/ ’’Tafsiri’’. Kwenye sanduku iliyoko hapo chini ya matini, tafsiri ile itaonyeshwa na itakuwa tayari kubandikwa kwenye programu yoyote nyingine, barua pepe, ujumbe mfupi, Whatsapp, Facebook ama chochote utakacho.

Isitoshe, ili uelewe zaidi lugha ile iliyotafsiriwa, tuna kitufe kisemacho maneno yale kwa lafudhi asilia. Hata iwe kwa kuwa unajifunza lugha zingine au unasafiri katika nchi ambayo huelewi lugha yake, kitafsiri hiki ni bora zaidi kwako. Hufai kusafiri bila programu hii kabambe!

Iwapo ungependa kugawa tafsiri zako kwa marafiki zako, unaweza kubandika kirahisi moja kwa moja kwenye ukuta wako wa Facebook, uitume kupitia Whatsapp, barua pepe, ujumbe mfupi ama programu yoyote uliyoiweka kwenye simu yako ya mkononi.

Iwapo huwezi andika, ama ungependa mtu mwingine akuzungumzie lugha nyingine, unaweza tumia kitambuzi sauti kilichoko kwenye kitafsiri hiki na mara tu ufanyapo hivyo, maneno yale yaliyozungumzwa yatageuka yaweze kusomeka na kutafsirika kwenye matini.
Bonyeza tu kipaza sauti na uende!

Utumiaji wa programu hii ni 100% bila malipo na wazi lakini lazima uwe na (WiFi ama 3G) ili ufikie seva ya kutafsiri.

Lugha 100 tofauti zinapatikana kwa hivyo unaweza tafsiri bila kipimo kwenye programu ile.

Lugha zinazotolewa na kitafsiri hiki ni: (en) Kihispania (es) Kiingereza (pt) Kireno (de) Kijerumani, (hu) Kihangaria (ar) Kiarabu (id) Kindonesia (bg) Kibulgaria, (ca) Kikatalani (it) Kiitaliano (cs) Kicheki (ja) Kijapani (zh-CHS) Kichina (rahisi) (lv) Kilatvia (zh-CHT) Kichina (kitamaduni), (lt) Kilithuania, (ko) Kikorea (ms) Kimalay (ht) Kihaiti, (no) Kinorwe (da) Kidenmak (fa) Kiajemi (sk) Kislovakia (pl) Kipoland (sl) Kislovenia (ro) Kiromania (et) Kiestonia (ru) Kirusi (fi) Kifini (sv) Kiswiden (fr) Kifaransa, (th) Kithai (the) Kigiriki (tr) Kituruki (I) Kiebrania (uk) Kiukrania (hi) Kihindi (ur) Kiurdu (mww) Kihmong Daw, (vi) Kivietinamu (nl) Kiholanzi.

Kama utafurahia kitafsiri hiki, tunakushukuru na kukuomba utuhitimishe kihalisi ili tuweze kuboresha.

Tunashukuru sana kwa maoni yenu.

Asante sana kwa kutumia kitafsiri chetu!
Ilisasishwa tarehe
22 Jul 2023

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa

Ukadiriaji na maoni

4.6
Maoni elfu 168
Mtu anayetumia Google
19 Julai 2019
iko vizuri nimeipenda sana
Je, maoni haya yamekufaa?
Mtu anayetumia Google
13 Mei 2018
Nimeipenda sana kwakweli
Je, maoni haya yamekufaa?

Mapya

Kuboresha tafsiri kasi.
Kadhaa mende fasta.
Updated lugha translator injini.