Mwongozo wa Mwelekeo una vitengo vitano vya kujifunzia vidogo vidogo. Vitengo hivi huwapeleka walimu kupitia mfululizo wa shughuli zinazojumuisha video za hatua kwa hatua, vitabu vya hadithi, maswali ili ufikirie na kujadiliana na walimu wenzako, na tafakari ili uzingatie. Kuna video tatu zilizohuishwa ambazo zina muhtasari wa matumizi ya Maktaba za Darasani kwa waelimishaji, na ambazo pia huwahimiza wanafunzi na familia kusoma kwa kujifurahisha.
Ilisasishwa tarehe
22 Jan 2023