1v1.LOL - Mchezo wa Risasi

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.3
Maoni elfu 590
10M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Umri wa miaka 10+
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Pigana ili usalie katika mchezo wa kuvutia wa vita vya ujenzi unaoitwa Battle Royale ambapo mchezaji atakayesalia ndiye atashinda na kupata ushindi mkuu unaotamaniwa na wengi.

Zaidi ya watumiaji 500,000 hukusubiri kila siku ili mshindane katika 1v1!

Unaweza kupata sifa zipi kwenye ufyatuzi huu wa wachezaji wengi?

* Kupata mshindani kwa haraka:
Pata ushindani wa 1v1 dhidi ya mchezaji nasibu katika sekunde 3, wakati wowote. Wachezaji hawa ni halisi tu! wala sio roboti.

* HUD Unayoweza Kuweka Mapendeleo:
Virekebishaji vya vidhibiti vya viwango vya juu vinavyokuwezesha kudhibiti na kupanga vitufe vya skrini yako unavyopenda vyenye miundo na Mipangilio ya Builder Pro na Old School, ambayo unaweza kudhibiti kwa urahisi yenye kisaidizi cha ufyatuzi na inayoweza kujifyatua.

* Hali ya mazoezi:
Fanya mazoezi ya ujuzi wako wa ujenzi, urekebishaji na ufyatuzi kwa kutumia nyenzo na silaha mbalimbali kama vile bunduki ya ushambulizi, bunduki ya kufyatua na bila shaka shoka maalum.

* Kila mtu anaweza kucheza bila kulipa chochote:
Programu hii imeundiwa watu wote na hailipiwi, hauhitaji kulipa au kuwa na pasi ya shindano ili kucheza bila kikomo, ikilinganishwa na michezo mingine ya Battle Royale.
Isitoshe, huwa tunasasisha mchezo huu mara kwa mara – ili kuwafaa wachezaji!

* Tunakuletea hali zaidi za kufurahia hivi karibuni:
Kwa sasa unaweza kucheza hali ya mazoezi, hali ya 1v1 na hali ya vita ya BOX. Tunajitahidi kubuni hali nyingine bora na maeneo yenye uhakika wa vita kwenye dunia na maeneo ya vita mitandaoni.

Kwenye 1v1.LOL tuliweza kuunda programu ya mtandaoni ya PvP ya kuiga ufyatuzi ili kukuwezesha kupigana na wapinzani wako na kutumia hali mbalimbali ya ujenzi kujikinga dhidi ya maadui. Unaweza kutumia ngazi, ukuta au dari kujikinga, kuhepa risasi za maadui halisi na kuwashambulia kwa silaha unazopenda ili kufikia ushindi wako wa 1v1 FPS.

Ninapaswa kufanyaje ili nianze kucheza mchezo huu wa programu ya mtandaoni ya kuiga ujenzi na ufyatuzi?

1. Hauhitaji kujisali kupitia Facebook au Gmail, pakua tu programu na uanze kucheza kutumia kiigaji chako chako PvP 1v1.LOL!

2. Unda jina la mhusika linalolandana na ishara pepe utakayotumia katika Battle Royale na ushiriki mchezo wako wa kwanza mtandaoni kupitia hali ya mazoezi, ambapo unaweza kujaribu ujuzi wako wa ufyatuzi na ujenzi!

3. Sasa uko tayari kushiriki vita hivi hadi kifo katika hali ya wachezaji wengi na wachezaji halisi kutoka kote ulimwenguni. Kumbuka kushiriki na kuwaalika marafiki zako!

* Unaweza pia kutupata
kwenye: https://1v1.lol
Discord: https://discord.com/invite/bcjNwBS
Twitch: https://www.twitch.tv/directory/game/1v1.lol
Instagram: https://www.instagram.com/justbuild.lol
TikTok: https://www.tiktok.com/@1v1_lol

PAKUA 1v1.LOL It's in the game: justbuild.lol

1v1 has versions intended for different ages. You will be directed to the version intended for your age, depending on the jurisdiction in which you are located. 1v1 does not require payment to download and play, but it also allows you to purchase virtual items with real money inside the game. You can disable in-app purchases in your device’s settings. 1v1 may also contain advertising. You may require an internet connection to play 1v1 and access its social features. You can also find more information about the functionality, compatibility and interoperability of 1v1 in the above description and additional app store information.
By downloading this game, you agree to future game updates as released on your app store or social network. You may choose to update this game, but if you do not update, your game experience and functionalities may be reduced.
Terms of Service: https://www.justplay.lol/terms-service/ Privacy Notice: https://www.justplay.lol/privacy-notice/
Privacy for Kids: http://justplay.lol/privacy-for-kids
Ilisasishwa tarehe
17 Jun 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Mahali, Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Mahali, Taarifa binafsi na nyingine4
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.4
Maoni elfu 505

Mapya

New Champion & Skin Alert! Poseidon and a stunning skin! joins the fight soon!
MK7 Assault Rifle Incoming! Prepare for devastating precision!
Fang Scythe Pickaxe Coming soon! ☠️ Strike fear with this ferocious pickaxe!
Sharper than Ever! Improved stability & informative tooltips for smoother gameplay.
Rewards Revolution! Special Video Offer in Lobby, Diverse Daily Quests & 1st Win Bonus!