Je, ungependa kujifunza kusoma na kuandika kwa Kiswahili? Je, ungependa mtoto wako ajifunze kusoma
na kuandika kwa Kiswahili? Programu hii hufundisha sauti na herufi za Kiswahili kupitia michezo ya
kufurahisha. Chagua picha moja ya wanyama na ucheze michezo yote 85.
Would you like to learn to read and write in Swahili? Would you like your child to learn to read and write in
Swahili? This app teaches you the sounds and letters of Swahili through fun games. Choose one of the
animal pictures and play your way through 85 games.
Ilisasishwa tarehe
6 Ago 2024