🚀 Uko Tayari Kuwa Huru? Digitox ndio kinga yako ya mwisho dhidi ya vurugu za kidijitali. Aidha uwe unapambana na uraibu wa simu janja, unapigania uzalishaji wa juu, au ni mdadisi tu kuhusu sifa zako za kidijitali, tuko kwa ajili yako.
😱 Kuambatana na Simu: Huwa unaamka na simu yako ikiwa pembeni yako na kulala nayo ikiwa pembeni yako?
😱 Kujitenga Kijamii: Unahisi kama unapoteza miunganiko ya maisha halisia kutokana na kutazama skrini?
😱 Kuzidiwa Kidijitali: Aplikesheni zilizobuniwa kukupa uraibu zinakuibia muda wako wa thamani.
🚣♂️ Safari Yako ya Ustawi wa Kidijitali Inaanzia Hapa:
Digitox inakuwezesha kuelewa tabia zako za kidijitali na kuweka vikomo vizuri vya matumizi. Hebu tuvichambue:
Vipengele Muhimu:
Punguza Muda wa Kutazama Skrini:
📱 Weka vikomo sahihi kwenye TikTok, Rili, au Video Fupi za YouTube. Vinjari bila wasiwasi ukiwa unajuwa utapigiwa king'ora baada ya video za TikTok 100!
⏰ Pata vikumbusho pindi ukikaribia kuzidisha vikomo vyovyote vya matumizi ya aplikesheni ulivyojiwekea.
Baki Mwenye Fokasi:
🔋 Ongeza uzalishaji kwa kubloku aplikesheni zinazovuruga wakati wa masaa ya kazi.
⌚ Jiondoe mara kwa mara na pata tena udhibiti.
Epuka Vurugu na maudhui Yasio Salama kwa Kazi:
👀 Bloku maudhui ya ngono katika aplikesheni zote. Bakia mwenye fokasi!
💥 Weka mipaka kwenye maudhui ya kisiasa. Kuwa mwenye taarifa, sio mlalamishi!
Ongeza Ustawi wa Kidijitali:
📵 Acha uraibu wa simu na dhibiti muda wa kutazama skrini.
👪 Tumia muda bora na uwapendao.
Haimalizi Betri & Rafiki kwa Mtumiaji:
🚀 Kiolesura Kinachoshika Mwanga Haraka—hakuna ugumu.
🔋 Fanisi bila kumaliza betri yako.
*** Msaada wa lugha zaidi unakuja hivi karibuni! ***
🎥 TikTok, Rili, na Video Fupi za YouTube—tunazipenda, lakini vinaweza vikawa vinatumalizia muda. Usiogope! Ukiwa na Digitox, uko katika udhibiti. Weka ukomo wa kila siku (tuseme video 100 za TikTok) na vinjari bila hatia. Hakuna kuvinjari bila ukomo tena! 🙌 (in beta)
🔒 Maudhui ya ngono? Majigambo ya kisiasa? Hakuna mwenye muda kwa ajili ya hayo! Digitox kwa sasa inakuruhusu kubloku mada zinazovuruga katika aplikesheni zako ZOTE. Sema HAPANA kwa vishawishi na rudisha utimamu wako. (in beta)
🌟 Kwanini Ni Nzuri:
Amani ya Akili: Jikinge dhidi ya maudhui yanayovuruga.
Ongeza Fokasi: Baki kwenye mstari bila ya kutolewa nje ya mstari.
Digital Zen: Sema NDIO kwa ustawi, HAPANA kwa machapisho ya kukasirisha.
🔥 Uko Tayari Kuyainua Maisha Yako ya Kidijitali? Pakua Digitox sasa na fungulia dunia ya kutokutetereka, fokasi, na uwazi wa kiakili. Ustawi wako unastahili hilo! 💙
ZINGATIA: Kama unaipenda Digitox, usisahau kutukadiria nyota 5—inaongezea nguvu wito wetu wa kuifanya dunia ya kidijitali kuwa sehemu yenye furaha zaidi! 🌟
Bila matangazo tangu 2023!
💙 Maoni Yako ni Muhimu:
Asante kwa kuchagua Digitox! Kama unaona aplikesheni yetu ni yenye msaada, tafadhali tukadirie nyota 5 kwenye Google Play. Mrejesho wako huupa nguvu wito wetu. Una mapendekezo au maswali? Tujulishe—tuko hapa kusikiliza!
Chukuwa hatua leo na kuza ustawi wako wa kidijitali na Digitox! 🌟
⭐ Aplikesheni hii inatumia Huduma za Ufikivu
Dhumuni la kutumia huduma hii ni kutazama aplikesheni inavyofanya kazi na kubloku video fupi na mada usizotaka kuziona tena, na kuruhusu vikumbusho. Kwa kuwezesha ruhusa hii kunairuhusu aplikesheni kukusanya vipimo visivyo na utambulisho kuhusu matumizi yako ya simu janja, ikihusisha maneno msingi unayokutana nayo wakati wa matumizi ya kawaida, kwa madhumuni ya uchambuzi na kuja kushirikishwa kwa pamoja kwa ajili ya kutekeleza miradi ya utafiti wa soko na washirika wa kibiashara. Taarifa zinazokusanywa daima zinatunzwa kulingana na Sera yetu ya Faragha.
Digitox ni zana ya uchambuzi wa matumizi ya aplikesheni ambayo ina vifurushi vyote na huonesha taarifa za matumizi kwa mtumiaji. Ndio maana ruhusa ya QUERY_ALL_PACKAGES inahitajika kwenye ufanyaji kazi wa aplikesheni. Unaweza kuona matumizi ya ruhusa hii kutoka kwenye picha za skrini na video pia.
Ilisasishwa tarehe
11 Jul 2025