Shule Tech ni App ambayo inakuwezesha mwanafunzi kupata kusoma mtandaoni masomo ama kozi mbalimbali kutoka kwa walimu mbambali. Kwa sasa unaweza kusoma kozi au masomo yote ya kuanzia kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne .Pia kozi nyingine kama ku design website ,mobile apps nk.
Ilisasishwa tarehe
20 Jun 2025