Mfugaji Smart ni android application ambayo
imeundwa kusaidia wafugaji wa kuku, wamiliki wa biashara, wasambazaji wa kilimo, na waendeshaji wa mikahawa au hoteli wanaotafuta kuungana na wafugaji na kuboresha mbinu zao za ufugaji kuku.
Mfugaji Smart itawasaidia kufanya kazi mbalimbali ambazo hapo awali walikuwa wakizifanya kwa mikono lakini programu hii inakuja kuwasaidia kufanya kazi hizo kama vile kuchanganya chakula cha kuku kwa njia sahihi.
Ilisasishwa tarehe
30 Apr 2025