Hii ni App maalum kabisa kwa watu wanaopenda kusoma Neno la Mungu kwa lugha mbalimbali veya kuelewa kwa undani na wfasaha. Lugha tatu (3) App hii yaani Kiswahili, Kihaya na Kingereza zinatoa maelezo mazuri ya da kuelewa Neno la Mungu. Si hivyo tu bali pia unaweza kusikiliza Neno la Mungu kwa Lugha zon 3 ve kutazama video 3. katika lugha zote. Ubarikiwe kwa kuchagua App hii.
Güncellenme tarihi
13 Mar 2023