Hiki ni kitabu cha pili katika mfululizo wa hadithi ndefu zilizopata kusimuliwa. Katika kitabu hiki kuna zaidi ya Hadithi 60 zinazoendeleza visa na mikasa iliyowahi kuwapata wafalme, watumwa, waungwana na viongozi mbalimbali.
Oxirgi yangilanish
11-apr, 2024