Biblia Takatifu - audio &video

Reklamalar mavjud
500+
Yuklanmalar
Yoshga oid cheklov
Hamma uchun
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot
Skrinshot

Bu ilova haqida

"Biblia" ni neno lililoingizwa katika Kiswahili bila kutafsiriwa. Asili ya neno hili ni lugha ya Kiyunani. Tafsiri ya neno hilo ni "Vitabu" katika Kiswahili.
Sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo inaitwa "Agano la Kale" kwa sababu inaeleza habari ya agano (mapatano) kati ya Mungu na wateule wake wa kale, Israeli
Vitabu 27 vya mwisho vinaitwa hivyo kwa sababu vinaeleza habari ya agano (mapatano) jipya kati ya Mungu na wanadamu wote.
Vitabu vinavyoeleza kuzaliwa, maisha, kazi, na kifo cha Yesu na mwanzo na kuenea kwa Kanisa kuanzia Yerusalemu hadi Roma.

Kitabu chenye maelezo ya mambo yaliyokuwako, yaliyopo na yatakayokuwako.

Vitabu vya kihistoria
-Mwanzo (Kitabu cha Kwanza cha Musa) (Mwa)
-Kutoka (Kitabu cha Pili cha Musa) (Kut)
-Walawi (Kitabu cha Tatu cha Musa) (Law)
-Hesabu (Kitabu cha Nne cha Musa) (Hes)
-Kumbukumbu la Sheria (Kumbukumbu la Torati; Kitabu cha Tano cha Musa) (Kum)
-Yoshua (Yos)
-Waamuzi (Amu)
-Ruthu (Kitabu cha Ruthi) (Rut)
-Samueli I (1 Sam)
-Samueli II (2 Sam)
-Wafalme I (1 Fal)
-Wafalme II (2 Fal)
-Mambo ya Nyakati I (1 Nya)
-Mambo ya Nyakati II (2 Nya)
-Ezra (Ezr)
-Nehemia (Kitabu cha Pili cha Ezra) (Neh)
-Esta (Est)
Vitabu vya hekima
-Yobu (Kitabu cha Ayubu) (Ayu)
-Zaburi (Zab)
-Methali (Met)
-Mhubiri (Mhu)
-Wimbo Ulio Bora (Wim)
-Maombolezo (Maombolezo ya Yeremia) (Omb)
Vitabu vya kinabii
-Isaya (Isa)
-Yeremia (Yer)
-Ezekieli (Eze)
-Danieli (Dan)
-Hosea (Hos)
-Yoeli (Yoe)
-Amosi (Amo)
-Obadia (Oba)
-Yona (Yon)
-Mika (Mik)
-Nahumu (Nah)
-Habakuki (Hab)
-Sefania (Sef)
-Hagai (Hag)
-Zekaria (Zek)
-Malaki (Mal)
Agano Jipya
Vitabu vya kihistoria
-Injili ya Mathayo (Mt)
-Injili ya Marko (Mk)
-Injili ya Luka (Lk)
-Injili ya Yohane (Injili ya Yohana) (Yn)
-Matendo ya Mitume (Mdo)
-Barua za Paulo
-Barua kwa Waroma (Waraka kwa Warumi) (Rum)
-Barua ya Kwanza kwa Wakorintho (1 Kor)
-Barua ya Pili kwa Wakorintho (2 Kor)
-Barua kwa Wagalatia (Gal)
-Barua kwa Waefeso (Efe)
-Barua kwa Wafilipi (Flp)
-Barua kwa Wakolosai (Kol)
-Barua ya Kwanza kwa Wathesalonike (1 The)
-Barua ya Pili kwa Wathesalonike (2 The)
-Barua ya Kwanza kwa Timotheo (1 Tim)
-Barua ya Pili kwa Timotheo (2 Tim)
-Barua kwa Tito (Tit)
-Barua kwa Filemoni (Flm)
-Barua nyingine
-Barua kwa Waebrania (Ebr)
-Barua ya Yakobo (Yak)
-Barua ya Kwanza ya Petro (1 Pet)
-Barua ya Pili ya Petro (2 Pet)
-Barua ya Kwanza ya Yohane (1 Yoh)
-Barua ya Pili ya Yohane (2 Yoh)
-Barua ya Tatu ya Yohane (3 Yoh)
-Barua ya Yuda (Yud)
Kitabu cha kinabii
-Ufunuo (Ufunuo wa Yohane) (Ufu)

Mahusiano baina Biblia na Qur'an
Katika Qu'ran tukufu, inasomwa kwamba Wayahudi na Wakristo pia huamini Mungu wa kweli. Dini hizi pamoja na Uislamu huitwa za Abrahamu kwa sababu ya mahusiano haya.

Kuna baadhi ya kurasa za Qu'ran zinazoelezea habari za mambo ya watu wa katika Biblia. Kwa mfano watu wa katika Biblia waliotajwa kwenye Qu'ran ni pamoja na Adamu, Nuhu, Abraham, Lutu, Ismaili, Yakobo, Yosefu, Haruni, Musa, mfalme Daudi, Solomoni, Elisha, Yona, Yobu, Zakaria, Yohane Mbatizaji, Bikira Maria na Yesu.

Programu hii ya Biblia Takatifu imegawanyika katika sehemu kuu tatu.
1.Biblia ya Mandishi
Hii hujuisha vitabu vyote vya agano la kale na agano jipya.
2. Biblia ya Sauti
Hii hujuisha vitabu vyote vya agano la kale na agano jipya..

3. Video za Biblia
Hii ni kwa vitabu vinne tuu, vitabu vya Mathayo, Marko, Luka na Yohana.

Faida za Kutumia Programu Hii
Upatikanaji Wakati Wowote na Mahali Popote: Furahia kusoma, kusikiliza, na kutazama Neno la Mungu bila vizuizi. Programu yetu inapatikana mtandaoni na nje ya mtandao.
Rahisi Kutumia: Muundo wa kirafiki na wa wazi ambao hufanya iwe rahisi kwa mtu yeyote kutumia, hata wale wasio na ujuzi wa teknolojia.
Bure: Programu yetu ni bure kupakua na kutumia. Hatuombi malipo yoyote kwa huduma zetu za msingi.

Hatua 1: Pakua Programu
Tembelea Duka la Google Play na utafute "Biblia Takatifu.
yenye publisher name M.E.S Soft tech
Oxirgi yangilanish
25-may, 2024

Maʼlumotlar xavfsizligi

Xavfsizlik — dastur ishlab chiquvchilar maʼlumotlaringizni qanday jamlashi va ulashishini tushinishdan boshlanadi. Maʼlumotlar maxfiyligi va xavfsizlik amaliyotlari ilovadan foydalanish, hudud va yoshga qarab farq qilishi mumkin. Bu axborot dastur ishlab chiquvchi tomonidan taqdim etilgan va keyinchalik yangilanishi mumkin.
Tashqi hamkorlarga hech qanday axborot ulashilmagan
Dastur ishlab chiquvchilar axborot ulashilishini qanday aytishi haqida batafsil
Hech qanday maʼlumot jamlanmagan
Dastur ishlab chiquvchilar axborot jamlanishini qanday aytishi haqida batafsil
Maʼlumotlar uzatish vaqtida shifrlanadi
Maʼlumotlar oʻchmaydi

Nima yangiliklar

Biblia Takatifu -text, audio & video.
Blessed who read the word of this prophecy - Abarikiwe asomae neno la unabii huu.