Hii ni App maalum kabisa kwa watu wanaopenda kusoma Neno la Mungu kwa lugha mbalimbali ili kuelewa kwa undani na kwa ufasaha。 Lugha tatu (3) zilizopo ndani ya App hii yaani 斯瓦希里语,Kihaya na Kingereza zinatoa maelezo mazuri ya kuelewa Neno la Mungu。 Si hivyo tu bali pia unaweza kusikiliza Neno la Mungu kwa Lugha zote 3 na kutazama video mbalimbali katika lugha zote 3。 Ubarikiwe kwa kuchagua App hii。