Shopac ni business inventory management software inayokusaidia kusimamia biashara yako pamoja na kutunza record za miamala ya malipo, matumizi, mtaji na uwakala kwa urahisi na usahihi.
Kwa kutumia Shopac App unaweza:
- Manage stock & bidhaa zako
- Rekodi mauzo ya kila siku
- Track mapato na matumizi ya biashara
- Rekodi na manage wateja wako
- Simamia madeni (unayodai & unayodaiwa)
- Simamia wafanyakazi wako na cash on hand zao.
- Pata ripoti mbali mbali za biashara yako na matawi yake
- Money Agents (Wakala) kurekodi miamala na kufuatilia taarifa za uwakala na ripoti zake
Shopac inakupa control kamili ya biashara yako ili uweze kufanya maamuzi smart na kukuza biashara yako.
👉 Shopac: a Smart Tool for Smarter Businesses