Aloha Private Browser - VPN

Ununuzi wa ndani ya programu
4.5
Maoni elfuĀ 208
10M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Miaka 3 kwenda juu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Karibu Aloha, kivinjari chenye kasi ya ajabu na salama kutumia kilichoundwa maalumu kwa ajili ya kukupatia faragha ya juu zaidi.

šŸŒ KIVINJARI CHA FARAGHA & HARAKA KISICHO NA MALIPO šŸŒ

Jizamishe katika ulimwengu wa Aloha, programu bora ya kuperuzi mtandaoni kwa faragha na ujasiri usio na kifani. Aloha imeundwa maalumu ili kukupatia uwanja wa kuperuzi mtandaoni kwa usalama na kwa kasi ya kipekee. Aloha inakupatia nafasi ya kuperuzi mtandaoni kwa haraka bila kikwazo chochote.

šŸ”’ KIVINJARI CHENYE VPN YA BURE & ISIYO NA KIKOMO šŸ”’

Staajabu uwezo wa Aloha, kivinjari chenye VPN kinachokuwezesha kuperuzi mtandaoni kwa ujasiri. Agana na vikwazo vya kijiografia na furahia usalama na kasi ya ajabu wakati ukiperuzi mtandaoni. Jikomboe na Aloha, kivinjari chenye VPN ambayo sio tu ya faragha bali pia inapatikana bila malipo.

šŸ’¼ POCHI NDOGO YA CRYPTO & KIVINJARI CHA BLOCKCHAIN šŸ’¼

Jirushe kwenye ulimwengu wa blockchain ukitumia Aloha, kivinjari chenye pochi ya crypto. Hifadhi na hamisha sarafu za kidijitali salama kwa kutumia pochi yetu inayokuhakikishia huduma bila vikwazo vyovyote kwa spidi ya roketi kupitia ulimwengu wa crypto.

šŸš€ KIVINJARI CHENYE AD BLOCK šŸš€

Furahia kuperuzi mtandaoni kwa spidi ya roketi ukitumia Aloha, kivinjari bora zaidi chenye uwezo wa kudhibiti matangazo. Epuka matangazo yasiyofaa kwa kutumia kivinjari chetu ambacho kina uwezo wa kuzuia matangazo na kukuwezesha kuperuzi mtandaoni kwa spidi ya roketi.

šŸ”’ VICHUPO VYA FARAGHA VYA KIVINJARI&SANDUKU SALAMA šŸ”’

Imarisha usalama wako wa kuperuzi mtandaoni ukitumia Aloha, kivinjari bora zaidi cha wavuti cha faragha. Furahia vichupo salama na ulinzi wa neno la siri kwa usalama ulioimarishwa ndani ya programu hii ya kibunifu inayokuwezesha kuperuzi kwa faragha.

šŸŽµ KIVINJARI CHA FAILI & MENEJA WA UPAKUAJI MTANDAONI šŸŽµ

Aloha Browser ni programu yenye faragha ya juu kwenye kumeneji mafaili bila vikwazo vyovyote. Pakua video, muziki na mafaili ukiboresha kuvinjari mtandaoni kupitia kivinjari hiki cha faragha.
Kivinjari cha faragha kinajumuisha pia kicheza video na muziki. Tazama na sikiliza filamu, matamasha pamoja na opera ukiwa na uwezo wa kudhibiti kulingana na mahitaji yako.

āš” USAIDIZI WA WEB3 & BLOCKCHAIN āš”

Jirushe kwa spidi ya roketi kwenye ulimwengu wa Web3.0 na teknolojia ya blockchain ukitumia kivinjari cha Aloha. Programu yetu inakupatia usaidizi thabiti wa blockchain katika uperuzi wa teknolojia hizi za kibunifu kwa spidi ya roketi.

šŸ“” HAMISHA MAFAILI KWA KUTUMIA Wi-Fi šŸ“”

Hamisha mafaili kutoka kifaa kimoja hadi kingine kupitia kivinjari chetu kwa njia ya Wi-Fi kwa faragha ya hali ya juu.

šŸ” KIVINJARI CHENYE VPN & USALAMA WA JUU ZAIDI šŸ”

Baki salama na Aloha, VPN na programu bora ya kuperuzi mtandaoni! Furahia kuperuzi kwa faragha ukitumia vipengele vyetu vya usalama pamoja na VPN bure.

Kivinjari cha Aloha ndio suluhisho pekee la kuperuzi mtandaoni kwa usalama bila kubughudhiwa na matangazo. VPN ya bure iliyojumuishwa, uwezo wa kudhibiti matangazo pamoja na pochi ya haraka ya crypto zinahakikisha kuwa matumizi ya mtandao ni ya faragha na salama zaidi. Pakua programu hii ufurahie kuperuzi salama na kwa faragha sasa!

Kuhusu Aloha
Aloha ni nguzo kuu ya Aloha Browser. Hii ni programu ya kwanza ya kutoa huduma ya VPN bure yenye uwezo wa kudhibiti matangazo na sifa ya pochi ya crypto iliyojumuishwa ndani yake. Tunahakikisha kuwa tunakupatia uwanja wa kuperuzi kwa usalama na kwa faragha ya juu wakati wote unapotumia mtandao.

Kwa taarifa zaidi tembelea: https://alohabrowser.com/
Jiunge nasi kupitia Facebook: https://facebook.com/alohabrowser/
Tufuatilie kwenye Twitter: https://twitter.com/alohabrowser/
Kwa maswali na usaidizi zaidi wasiliana nasi kupitia support@alohabrowser.com

Sera ya Faragha: https://alohabrowser.com/privacy-policy.html
Sheria na Masharti: https://alohabrowser.com/terms-conditions.html
Ilisasishwa tarehe
30 Apr 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Utendaji na maelezo ya programu
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Taarifa binafsi, Shughuli za programu na nyingine2
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Ukaguzi huru wa usalama

Ukadiriaji na maoni

4.5
Maoni elfuĀ 202

Mapya

Chat in Your Browser! GPT Integration
Exciting Update: Ability to connect with the power of GPT chat directly in your browser!
šŸ’” **Intuitive journey with a seamless integration.
šŸŒ **Explore and get information and assistance right within your browser.
Upgrade now to experience the next level of Aloha browsing with integrated GPT chat!