Kupitia app hii, wajasiriamali wadogo wanaweza kuona taarifa zao za mkopo moja kwa moja bila kufika ofisini. Lengo letu ni kurahisisha upatikanaji wa taarifa za kifedha na kuwasaidia wateja kusimamia mikopo yao kwa uwazi na ufanisi zaidi.
Kupitia Bexa Microfinance App utaweza:
• Kufuatilia salio la mkopo wako
• Kuona ratiba ya marejesho
• Kufuatilia malipo uliyofanya
• Kupata taarifa muhimu kuhusu akaunti yako
• Kupokea taarifa na arifa za marejesho
Bexa Microfinance inalenga kuwawezesha wajasiriamali wadogo kukua kiuchumi kwa kuwapatia huduma rahisi, salama na za kidigitali.
loan providers in Tanzania