Bongodili ni app ya biashara mtandaoni inayokuwezesha kununua na kuuza bidhaa mbalimbali kwa urahisi. App hii imeundwa kurahisisha mawasiliano kati ya wauzaji na wanunuzi kupitia simu.
Sifa Kuu
Weka tangazo la bidhaa kwa hatua chache
Tazama bidhaa zilizowekwa na watumiaji wengine
Pata bidhaa kulingana na eneo ulipo
Mawasiliano ya moja kwa moja kati ya muuzaji na mnunuzi
Picha na maelezo ya bidhaa yanayokusaidia kufanya maamuzi
Bidhaa Unazoweza Kuuza au Kununua
Simu na vifaa vyake
Vifaa vya nyumbani
Magari na pikipiki
Mali na nyumba
Mavazi na viatu
Electronics na vifaa vingine
Jinsi Inavyofanya Kazi
1. Pakua app
2. Fungua akaunti
3. Weka tangazo la bidhaa
4. Subiri wanunuzi wakupigie au kukutumia ujumbe
Bongodili inalenga kurahisisha biashara kati ya watu wanaouza na wanaotafuta bidhaa katika maeneo mbalimbali.
Safety starts with understanding how developers collect and share your data. Data privacy and security practices may vary based on your use, region, and age. The developer provided this information and may update it over time.
This app may share these data types with third parties
Location
No data collected
Learn more about how developers declare collection