Kuongezeka kwa wanyama pori

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.3
Maoni elfu 2.72
elfu 100+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Toka kwenye shughuli za kila siku na ujipatie raha ya mchezo wa kusisimua wa kuunda mazingira ya kipekee yaliyojaa uhai. Pata uzoefu motomoto wa kujisafirisha kwenye sehemu zenye mazeo mengi, jitayarisha kukusanya kadi za aina za viumbe mbalimbali na ongeza kiwango chako ili kupata viumbe mbalimbali zaidi.

Mashuhudie ulimwengu wa kipekee uliojaa mandhari nzuri, muziki wa kuvutia na aina tofauti za wanyama, mimea, ndege na wadudu. Hii ni njia bora ya kujifunza na kupata mwendelezo wa furaha. Kadi zote za viumbe na maelezo yake ni ya kitaalam yaliyo hakikiwa na wataalamu wa biolojia.

Huduma zako zitathaminiwa kwa kuwapa zawadi kama droo, jembe na masanduku ya hazina. Unaweza kwenda katika safari za 'Expedition' ili kupata zawadi zaidi pamoja na kushiriki katika michezo ya wiki ya kusisimua katika sehemu ya Afrika.

Unangoja nini? Chungulia katika ulimwengu wa Wildlife Sanctuary na kufurahia maajabu ya asili. Tuwasiliane kwa barua pepe service@capplay.com au katika jukwaa zetu za mitandao ya kijamii:

Discord: https://discord.gg/vNAB9eFs5W
Facebook: https://www.facebook.com/capplaygames
Twitter: https://twitter.com/CapPlayGames
Instagram: https://www.instagram.com/capplaygames/
Youtube: https://www.youtube.com/channel/UC8yIj0AL1SJcqqZzq27bBPA

Sera ya faragha: https://capplay.com/capplay_privacy_policy.html
Masharti ya huduma: https://capplay.com/terms_of_service.html
Ilisasishwa tarehe
13 Des 2023

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Shughuli za programu
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.3
Maoni elfu 2.54

Mapya

Ubunifu wa kurekebisha makosa na kuongeza uwezo wa utendaji.