Jifunze Kiholanzi

100+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Anza kuzungumza lugha mpya papo hapo. Ukitumia uTalk Classic, jifunze maneno na sentensi muhimu unazohitaji kujua ili kuanza kuzungumza, kujiamini na kupata marafiki popote unapoenda.

Zaidi ya watu milioni 30 duniani kote wametumia mbinu ya uTalk iliyoshinda tuzo - iliyobuniwa kwa zaidi ya miaka 25 - kujifunza lugha mpya. Ni rahisi, ya kufurahisha, yenye matokeo ya haraka... na sasa ina mwonekano mpya unaong'aa na michezo iliyoboreshwa ili kufanya ujifunzaji wako kuwa wa kuridhisha zaidi.

uTalk Classic:

• Yenye kutia motisha - kufurahia kitu ndiko njia bora ya kujifunza. Michezo ya uTalk Classic imeundwa kuwa ya kufurahisha na kuvutia, ili uweze kuwa na hamu ya kuendelea kujifunza.

• Halisi - tunatafuta wazungumzaji na watafsiri wazawa ili kukuletea maudhui yote katika uTalk Classic, ili kuhakikisha kuwa unajifunza kuzungumza kama wenyeji.

• Mahiri - programu mahiri inayojua uwezo wako (na udhaifu wako), hivyo kuboresha michezo kulingana na kiwango chako binafsi.

• Ni bora zaidi katika matamshi - jirekodi unapofanya mazoezi ya kuzungumza lugha hiyo mwenyewe. Unaweza kufanya hivi mara nyingi upendavyo ili kuboresha lafudhi yako kabisa.

• Ina picha - picha zetu nzuri huunganisha maneno na picha ili kuharakisha jinsi ubongo wako unavyojifunza, kwa kutumia kumbukumbu ya kuona ili kukusaidia kukumbuka lugha yako mpya.

• Ina vitendo - uTalk Classic hukufundisha maneno na sentensi ambazo ambazo utahitaji kupitia mada tisa za wanaoanza kujifunza lugha: maneno ya kwanza, chakula na vinywaji, rangi, nambari, sehemu za mwili, kubaini saa, ununuzi wa bidhaa, sentensi na nchi.

•Ubebekaji - tumia uTalk Classic nje ya mtandao popote pale duniani, bila hatari ya kulipia gharama zozote ghali za mitandao ya ng'ambo.
Ilisasishwa tarehe
25 Jan 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Taarifa binafsi
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play

Mapya

Hemos actualizado la aplicación para que funcione mejor: descárgate la nueva versión para acceder a todas las funcionalidades.
• Corrección de errores

¿Dudas, comentarios? Estaremos encantados de recibir tu mensaje en support@utalk.com