Princess Coloring Michezo

4.2
Maoni elfu 1.02
elfu 500+
Vipakuliwa
Zimeidhinishwa na Walimu
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Je unapenda michezo ya kupaka rangi binti wa mfalme? Hii hapa app bora ya kupaka rangi,binti wa mfalme kitabu cha kupaka rangi - michezo kwa wasichana kwaajili yako! Unaweza kupata binti za mfalme wazuri & malkia kuchora & kupaka rangi za kumeremeta ndani ya binti wa mfalme michezo yakupaka rangi,michezo kwa wasichana! Chora & paka rangi nzuri wa binti za mfalme wa kupendeza huku ukiwa makini kwa kila taarifa - mitindo ya nywele zao, magauni,viatu & vitu vya kumeremeta ndani ya binti wa mfalme kitabu cha kupaka rangi - Michezo kwa Wasichana. wafanye mabinti hawa wa mfalme & vichimbakazi waonekane wazuri zaidi kwa kuwapamba kwa rangi za kuvutia & kumeremeta ndani ya binti wa mfalme michezo ya kupaka rangi. Chagua kutokwa kwenye rangi nyingi,miundo,ubunifu, na mfanye binti wa mfalme aonekane mrembo! binti wa mfalme michezo ya kupaka rangi ni maalumu kwa wasichana wa umri wowote & yoyote mwenye kupenda kucheza michezo ya kupaka rangi.

Wasifu wa Binti wa Mfalme Kitabu Cha Kupaka Rangi: Michezo Kwa Wasichana
Binti wa Mfalme michezo ya kupaka rangi ni bure kabisa kutumia. Hamana kitu kilichofungwa,haina malipo ya kwenye app,kila kitu ni BURE!

20+ Binti wa Mfalme Kurasa Za Kupaka Rangi ili kupaka rangi mabinti wa mfalme,vichimbakazi, mataji,viatu, kasri,wandi, mikufu & magi zaidi!

mchezo huu ni wa kufurahisha kwa familia yote, kuanzia wasichana wadogo hadi wanawake wakubwa ambao wnapenda kuchora,kupaka rangi & kupaka rangi mabinti wa mfalme. Ni maalumu kwa kila umri,

Unaweza kutunza binti wa mfalme uliyemvalisha kwatika kifaa chako & kushirikisha kwa marafiki zako & familia.

App hii inaweza kutumika kama njia ya kutuliza mawazo na kutulia kipindi unapaka rangi

Binti wa Mfalme Kitabu cha Kupaka Rangi: Michezo kwa Wasichana inakusanya malkia wengi, wazuri & vichimbakazi wakustajabisha,binti wa mfalme wa mitindo, nguva wazuri & ballerina.

Chagua kutoka kwenye madhari mbalimbali nyingi, rangi za kuvutia,vivuli,miundo,ubunifu,kung'aa, na kumeremeta!

binti wa Mfalme Kitabu Cha Kupaka Rangi: Michezo kwa Wasichana ni app maalumu kwa kila mtu ambae anapenda kuchora & kupaka rangi za kumeremeta. Ni kitabu cha bure cha kupaka rangi ikiwa na picha nzuri za binti wa mfalme kwa wote. Tuna hakika kuwa utafurahia kipindi unapaka rangi na kubuni ndani ya app hii.

Kwahiyo unasubiri nini? Pakua app bora ya kupaka rangi Binti Wa Mfalme Kitabu Cha Kupaka Rangi: Michezo kwa Wasichana na uwe na muda mwingi wa kufurahia kipindi unampaka rangi binti wa mfalme mzuri
Ilisasishwa tarehe
16 Jan 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
Shughuli za programu, Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Data haiwezi kufutwa
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play

Ukadiriaji na maoni

4.8
Maoni 781

Mapya

Hello! We are here with the new update. In this version, we have fixed some annoying bugs and improved the performance of the games for the best coloring experience. Hope you like the new update. We would love to hear from you. If you have any feedback or suggestions, reach us at support@kidlo.com.