Darasa Langu Application
Darasa Langu ni programu ya kisasa iliyoundwa mahsusi kwa walimu wa shule za msingi, sekondari, na kidato cha juu. Simamia shughuli zako zote za kufundisha mahali pamoja — bila msongo wa karatasi.
✅ Usimamizi wa Madarasa
Unda na simamia madarasa yako kwa urahisi. Ongeza wanafunzi, panga masomo, na fuatilia maendeleo ya kila darasa kwa ufanisi zaidi.
📋 Mahudhurio ya Wanafunzi
Rekodi mahudhurio ya kila siku kwa haraka na kwa urahisi. Tambua wanafunzi waliopo, waliochelewa, wenye udhuru au wasiokuwepo — yote kwa muda mchache tu.
📊 Matokeo na Alama
Weka na simamia alama za wanafunzi kwa kila somo. Mfumo wa daraja huhesabu na kutoa matokeo automatic kulingana na vigezo ulivyoweka mwenyewe.
📚 Maazimio ya Mitihani
Pata na pakua maazimio ya mitihani ya miaka iliyopita yaliyoandaliwa kwa mpangilio wa darasa, somo, na mwaka — kwa urahisi wa kutafuta na kutumia.
📰 Elimu News
Kaa karibu na habari mpya za elimu. Soma taarifa, mabadiliko, na matangazo muhimu ya elimu moja kwa moja ndani ya programu.
🔒 Salama na ya Faragha
☁️ Usawazishaji wa Data
Data yako husawazishwa moja kwa moja na seva. Hata ukibadilisha simu, taarifa zako zote zitabaki salama na kupatikana kwa urahisi.
Darasa Langu — Teknolojia inayompa mwalimu nguvu zaidi darasani.