MaishaForum

10+
Downloads
Content rating
Teen
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image
Screenshot image

About this app

MaishaForum.com ni jukwaa la kisasa lililobuniwa kwa ajili ya kuwaleta pamoja Watanzania na watu wote wanaotumia lugha ya Kiswahili kutoka pande zote za dunia. Hapa, unaweza kujadili mada mbalimbali za maisha kama vile, saikolojia, biashara, uchumi, ujasiriamali, teknolojia, intaneti, mitandao ya kijamii, elimu, ajira mpya, tenda, mahusiano, mapenzi, urafiki, familia, malezi, mapishi, kilimo, ufugaji, uvuvi, sanaa, ubunifu, vyombo vya usafiri, burudani, afya, na mengine mengi. Pia inakupa nafasi ya kutangaza biashara yako kupitia categoria yetu ya Uza au Nunua. Kwa hakika MaishaForum.com imejidhatiti kumuunga mkono mjasiriamali.

Kupitia MaishaForum.com, tunakuunganisha na jamii kubwa ya watu wenye mawazo tofauti, fursa, na maarifa. Lengo letu ni kukuza utamaduni wa kuwaongezea watu ufahamu na maarifa kwa kuwapa watumiaji wetu nafasi ya kushirikiana, na kubadilishana mawazo kwa uhuru.
Sifa Muhimu za MaishaForum.com:

- ⁠Majadiliano ya Kipekee: Shiriki mijadala ya wengine na upate suluhisho la changamoto zako. Chagua mada unayopenda na shiriki kwa kadri ya uelewa na ujuzi wako.
- ⁠Urahisi wa Matumizi: Jukwaa letu limeundwa kuwa rahisi kutumia kwa kila mtu.
-⁠ ⁠Fursa za Kujifunza: Pata maarifa mapya kupitia mijadala yenye manufaa na elimu.

Jiunge leo na uwe sehemu ya jamii kubwa ya kidijitali inayokwenda na wakati! Karibu MaishaForum.com – Uliza, Jadili na Ujifunze!
Updated on
Nov 20, 2024

Data safety

Safety starts with understanding how developers collect and share your data. Data privacy and security practices may vary based on your use, region, and age. The developer provided this information and may update it over time.
No data shared with third parties
Learn more about how developers declare sharing
No data collected
Learn more about how developers declare collection
Data is encrypted in transit

What’s new

MaishaForum.com ni jukwaa la kisasa lililobuniwa kwa ajili ya kuwaunganisha watu katika mijadala mbalimbali ya maisha kwa lengo la kukuza ufahamu na maarifa. Ukijiunga na jukwaa hili:

•⁠ ⁠Utaweza kuunganishwa na kufahamiana na wanachama wengine.
•⁠ ⁠Utaweza kuanzisha na kusoma mijadala mbalimbali ya Maisha.
•⁠ ⁠Utaweza kushiriki mijadala mbalimbali kwa kuongeza maoni yako binafsi.
•⁠ ⁠Utaweza upload (Upload) picha, faili, sauti na video.

App support

Phone number
+255742920510
About the developer
ZENO LIMITED
iamdastani@zeno.co.tz
Makumbusho Road Dar es salaam 14107 Tanzania
+255 744 963 858

More by Zeno Limited