Malunde 1 Blog

Sisältää mainoksia
50 t.+
Lataukset
Sisällön ikärajoitus
Kaikki
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus
Kuvakaappaus

Tietoa sovelluksesta

Malunde 1 -blogisovellus – ni app maalum kwa ajili ya habari na matukio yanayotokea Tansania na nje ya Tansania. Habari za michezo, ajira, picha nzuri, mapenzi, siasa, uchumi, burudani, video mpya, nyimbo mpya na mambo yote mazuri

Malunde 1 -blogisovellus - Usipate tabu tena kutafuta habari za kusisimua na magazeti ya kila siku, kuwa mjanja malunde 1 blogisovellus ndiyo kituo cha taarifa mpya, habari za moto moto , yanayojiri magabari, habari, habari habari vya vya, habari, habari habari vya magai matukio ya ukweli na uhakika muda wote. Tunakupa habari kali kali kwa waandishi wa habari mahiri.

Malunde 1 -blogisovellus – Ni mahali pekee ambapo utapata habari za Shinyanga, Gamboshi na maeneo yote. Ni kituo cha habari za kusisimua, siasa, simulizi, mapenzi, michezo,nyimbo za asili na vituko. Mambo yote ya fashion na mitindo na matangazo ya burudani na biashara utapata kupitia app hii.

Malunde 1 -blogisovellus – Kuwa wa kwanza kupokea nyimbo za ngoma za asili, ngoma mpya za wasanii wa nyimbo asili na utamaduni. Tunakupa furaha na burudani za asili ili ufurahie ulimwengu wa burudani kutoka kwa wasanii wa Kanda ya Ziwa wakiwemo akina Bhudagala, Ng'wana Kang'wa, Ntemi omabala, Ngelela, Bhulemela, Mama Ushauri, M. Elizabeth Maligabelam, M. , Madebe na Wasanii wengine wa ngoma za Kisukuma, nyimbo za kisukuma, nyimbo za utamaduni , nyimbo za makabila yote.

Malunde 1 -blogisovellus - Hii inakupa habari mbalimbali kuhusiana na mapenzi, mahusiano, mapenzi,jinsi ya kuchagua mchumba, vyakula vya kuimarisha afya ya uzazi,jinsi ya kupata mrembo mrembo wa kuishi naye, visa matuhuhuus ya maurihazimoja kartta mapenzi kila siku zitakazokufanya uweze kujua mambo mengi sana kuhusiana na Mapenzi na matukio yatokanayo na mapenzi.

Malunde 1 App - App maalumu kwa habari za michezo na burudani, mechi zote, timu zote zinazocheza na wasanii wa filamu, bongo fleva, Singeli, bolingo, bongo-elokuva, Royal Tour na burudani zote zitakazokupa raha duniani.

Malunde 1 App - Pia katika App hii utapata nymbo mpya za wasanii, visa vya wasanii, nguo za wasanii na mambo yote ya wasanii duniani. Utapata habari zote kuhusu nchi yako, siasa, uchumi, utamaduni, mapenzi, picha za matukio na mambo yote ya habari za wasanii, habari za wanasiasa, habari za watu maarufu.

Malunde 1 App - Kupitia App hii utapata fursa ya kusoma visa mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali wakihitaji ushauri kwenye mambo yanayowatatiza kila siku kwenye maisha na mbinu za kubadili maisha naraha kuongeza maisha fu. Habari zote zinazogusa maisha ya watu.

Malunde 1 blogi Fahari ya Shinyanga ni blogi ya Kiswahili maarufu duniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, nymbo za asili na habari za kusisimua.
Päivitetty
23.7.2022

Dataturvallisuus

Turvallisuus alkaa siitä, että ymmärrät, miten kehittäjät keräävät ja jakavat dataasi. Datan yksityisyys- ja tietoturvatoimet saattavat vaihdella käytön, alueen ja iän mukaan. Kehittäjä on antanut nämä tiedot ja saattaa päivittää niitä myöhemmin.
Sovellus voi jakaa näitä datatyyppejä kolmansille osapuolille
Sijainti, Sovellusten tiedot ja toiminta ja Laite- tai muut tunnisteet
Dataa ei ole kerätty
Lue, miten kehittäjät ilmoittavat keräämisestä
Data salataan siirron ajaksi
Dataa ei voi poistaa