Malunde 1 Blog

包含廣告
50K+
次下載
內容分級
所有人
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片
螢幕截圖圖片

關於此應用程式

Malunde 1 blog App – ni app maalum kwa ajili ya habari na matukio yanayotokea Tanzania na nje ya Tanzania。 Habari za michezo, ajira,picha nzuri, mapenzi, siasa, uchumi, burudani, video mpya, nyimbo mpya na mambo yote mazuri

Malunde 1 blog App - Usipate tabu tena kutafuta habari za kusisimua na magazeti ya kila siku, kuwa mjanja malunde 1 blog app ndiyo kituo cha taarifa mpya, habari za moto moto, yanayojiri magazetini, habari kubwa magazeti, vichwa vya habari vya magazeti na habari na matukio ya ukweli na uhakika muda wote。 Tunakupa habari kali kali kwa waandishi wa habari mahiri。

Malunde 1 博客應用程序 – Ni mahali pekee ambapo utapata habari za Shinyanga,Gamboshi na maeneo yote。 Ni kituo cha habari za kusisimua,siasa,simulizi,mapenzi,michezo,nyimbo za asili na vituko。 Mambo yote ya fashion na mitindo na matangazo ya burudani na biashara utapata kupitia app hii。

Malunde 1 博客應用程序 – Kuwa wa kwanza kupokea nyimbo za ngoma za asili、ngoma mpya za wasanii wa nyimbo asili na utamaduni。 Tunakupa furaha na burudani za asili ili ufurahie ulimwengu wa burudani kutoka kwa wasanii wa Kanda ya Ziwa wakiwemo akina Bhudagala, Ng'wana Kang'wa, Ntemi omabala, Ngelela, Bhulemela, Mama Ushauri, Elizabeth Maliganya, Gude Gude, Kisima, Mchelemchele, Mlyambelele , Madebe na Wasanii wengine wa ngoma za Kisukuma, nyimbo za kisukuma, nyimbo za utamaduni, nyimbo za makabila yote。

Malunde 1 blog App - Hii inakupa habari mbalimbali kuhusiana na mapenzi, mahusiano, mapenzi,jinsi ya kuchagua mchumba, vyakula vya kuimarisha afya ya uzazi,jinsi ya kupata mrembo wa kuishi naye, visa vya mapenzi, matukio ya mapenzi ushauri pamoja na simulizi zinazohusu mapenzi kila siku zitakazokufanya uweze kujua mambo mengi sana kuhusiana na Mapenzi na matukio yatokanayo na mapenzi。

Malunde 1 App - App maalumu kwa habari za michezo na burudani、mechi zote、timu zote zinazocheza na wasanii wa filamu、bongo fleva、Singeli、bolingo、bongo movie、Royal tour na burudani zote zitakazokupa raha duuniani。

Malunde 1 App - Pia katika App hii utapata nyimbo mpya za wasanii, visa vya wasanii, nguo za wasanii na mambo yote ya wasanii duunii。 Utapata habari zote kuhusu nchi yako、siasa、uchumi、utamaduni、mapenzi、picha za matukio na mambo yote ya habari za wasanii、habari za wanasiasa、habari za watu maarufu。

Malunde 1 App - Kupitia App hii utapata fursa ya kusoma visa mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali wakihitaji ushauri kwenye mambo yanayowatatiza kila siku kwenye maisha na mbinu za kubadili maisha na kuongeza furaha katika maisha。 Habari zote zinazogusa maisha ya watu。

Malunde 1 blog Fahari ya Shinyanga ni blog ya Kiswahili maarufu duuniani kwa habari za Matukio, Siasa, Magazeti, nyimbo za asili na habari za kusisimua。
更新日期
2022年7月23日

資料安全

為確保安全,請先從瞭解開發人員如何收集與分享資料開始。資料私隱和安全程序可因使用情況、所在地區和年齡而異。此資料由開發人員提供,並可能會隨時間更新。
此應用程式可能與第三方分享這些資料類型
位置、應用程式資料和效能及裝置或其他 ID
不會收集任何資料
進一步瞭解開發人員聲明收集的方式
資料在傳輸時加密
不可刪除資料