Katika toleo hili, kwa neema ya Mungu, tumeboresha app kwa matumizi bora zaidi:
- Lesoni za Kiingereza, aina mbalimbali za lesoni na nyimbo kutoka kwenye kitabu kikubwa.
- Kusoma lesoni offline, kubadili ukubwa wa maandishi na kuonyesha nyimbo kwa vikundi.
- Kufunguka moja kwa moja kwenye mstari wa Biblia unapokuwa unasoma lesoni.
- Vitendo vya mstari wa Biblia: highlight (rangi tofauti), bookmark, notes, share na kupiga mstari.
Endelea kubarikiwa, na heri ya mwaka mpya π