WeDo ni programu ya simu inayowaunganisha wafanyakazi wenye ujuzi na wateja. Ina taaluma mbalimbali ikiwemo madereva, wajenzi, mafundi, wafanyakazi wa kazi za nyumbani, kampuni, sekta za usafirishaji, usafi na nyinginezo
Tuna waunganisha wafanyakazi wenye ujuzi wa hali ya juu na wateja wao