elfuĀ 10+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Sema na Rais ni mfumo ambao unakupa fursa ya kutoa changamoto au malalamiko yako kuhusu taasisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ili kupatiwa ufumbuzi kwa ufanisi na haraka.
Ilisasishwa tarehe
26 Feb 2021

Usalama wa data

Wasanidi programu wanaweza kuonyesha maelezo hapa kuhusu jinsi programu zao zinavyokusanya na kutumia data yako. Pata maelezo zaidi kuhusu usalama wa data
Hakuna maelezo yanayopatikana

Mapya

Sema na Rais ni mfumo rasmi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na ni mfumo wa kwanza Tanzania unotoa fursa kwa wananchi kutoa changamoto zao zinazowakabili kwenye taasisi za serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mfumo huu unarahisi utumaji wa changamoto au maoni pamoja na kufatilia hatua iliofikia kupatiwa ufumbuzi.

Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yetu www.maoni.rahisi.co.tz