Kupitia App hii unaweza kusikiliza Singeli mpya. Singeli ni mziki wenye asili na mahadhi ya kiswahili ambao unapendwa na kila rika la watu. Baadhi ya waimbaji wa singeli ni kama Misso Misondo, Dulla Makabila, Meja kunta, Sholo Mwamba, Mzee wa Bwax, Man Fongo, Msaga Sumu, Balaa Mc, na kadilida.
Sikiliza Singeli mpya - Muziki wa asili ya kiswahili