Ride ni huduma ya kifedha itakayo kuwezesha gari kwa haraka. Weka pesa mpaka asilimia 50 na utaweza kutumia gari unapomalizia kiasi kilichobaki.
Tumia Ride kwa umakini ili uweze kuaminika na kupewa gari kwa haraka.
Lipa kidogo kidogo na upate mkopo kukuwezesha umiliki gari kwa haraka