Jiunge na Tunzaa+ uweze kufikia mtandao wa wanunuzi ambao hutumia pesa kila siku kununua bidhaa na huduma moja kwa moja kutoka kwa wafanyabiashara kama wewe.
Ongeza mauzo kwa kuwapa wateja wako uwezo wa kununua kile wanachokihitaji kwa kulipia kwa awamu hadi watimize malipo yao.
ONGEZA THAMANI
Rahisi & salama. Malipo yanatumwa kwako mfanyabiashara na hakuna malipo ya ziada ya kila mwezi.
KUZA BIASHARA
Ongeza mauzo yako kwa kufikia mtandao wa wanunuzi ambao wanafurahia kufanya manunuzi kutimiza malengo na mipango yao.
ORODHESHA BIASHARA YAKO BURE
Orodhesha bidhaa na huduma zako zote bure - utalipa ada tu ikiwa utauza kupitia Tunzaa.
UDHIBITI
Kupitia Tunzaa unaweza kufatilia oda za wateja wako, bei na kuweka bidhaa mpya kila upendavyo.
USALAMA WA MALIPO
Tunzaa inakuhakikishia usalama wa malipo kutoka kwa wateja wako.
USAIDIZI NA USHAURI
Tumejitolea kusaidia washirika wote wa biashara kufanikiwa kwa kuhakikisha wanapata taarifa sahihi na msaada wa jinsi ya kufaidika na Tunzaa.
Updated on
Aug 12, 2024
Shopping
Data safety
arrow_forward
Safety starts with understanding how developers collect and share your data. Data privacy and security practices may vary based on your use, region, and age. The developer provided this information and may update it over time.
Tunayo furaha kubwa kutangaza toleo jipya la programu ya Tunzaa Plus, lililoboreshwa ili kukupa uzoefu bora zaidi. Hivi ndivyo unavyoweza kutarajia. 1. Uboreshaji wa uthibitisho 2. Uboreshaji wa utendaji 3. Hitilafu za kupakia bidhaa