Kwa kutumia app hii, wateja wa bidhaa zetu wanaweza kuagiza bidhaa ziwafikie walipo na kuwekeza kidogo kidogo kwa ajili ya manunuzi ya bidhaa za Taifagas。
Use current device location for order delivery | Tumia eneo simu yako ilipo kwa ajili ya kuweka oda Receive notifications on order updates | Pata notifikesheni kuhusu maendeleo ya oda yako