Hii ni App maalum kwa ajili ya kutoa mafunzo juu ya ufugaji na matibabu kwa njia ya mtandao. Tumejikita katika kutoa mafunzo kuhusu wanyama kama vile Kuku, Ng'ombe, Mbuzi, Sungura na wengineo.
Pamoja na App hii pia tuna Group letu la WhatsApp, hapa utajiunga kwa kupiga namba hii 0762 799 080 kisha utapewa maelekezo zaidi.
Pia App yetu ipo sambamba vietnei yetu maalum ya www.animalscience.care. Utakua na uwanja mpana wa kujifunza na kutoa maoni na maswali kupitia sehemu ya Komentāri.
Zaidi ya yote tunakukaribisha Ujifunze, Uelimike katika ufugaji wenye tija kibiashara.
Mavasiliano.
E-pasts: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: 0762 799 080
Tīmekļa vietne:
https://animalscience.care/
NB. Varat izmantot Android lietotni, emuārus un vietni, piemēram, kāgenezewa.
Wasiliana nasi kupitia mawasiliano yaliyotajwa hapo juu.
Atjaunināta
2024. gada 1. febr.