Football Cup 2024 - Soka

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.1
Maoni elfu 730
100M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Football Cup 2024 limewasili! Usisite na burudika na hali ya kihalisi ya mpira wa miguu! Onyesha nchi nyingine, nani ana timu bora kuliko zote ulimwenguni na shinda kombe la taifa!

Ingia mzima mzima katika mchezo huu mzuri ulioundwa kwa ufananisho wenye uhalisi usio na mfano! Katika Football Cup 2024, ujuzi wako wa mpira wa miguu hai ni rasilimali ya thamani kubwa, huku tabaka za ujuzi wa kila mchezaji, uchezaji wake na midundiko yake zikijumuishwa kwenye mchezo kwa undani na umakini wa hali ya juu.

Chagua mojawapo ya zinanopendwa kama Argentina, Spain ama Brazil, au saidia moja ya zisizojulikana kufikia nafasi ya kwanza!

HALI-TUMIZI ZA MCHEZO
Endesha timu yako kwa msimu mzima hadi adhama ya ligi
Mashindano - Kuwa wa kwanza, shinda katika ulimwengu wa mpira wa miguu na ingia katika historia
Fanya mazoezi - Boresha ujuzi wako

Hali-tumizi ya CARRER mpya - jaribu kumaliza tabaka tele ngumu zikiwemo "Floor is lava", "Wall of death" na nyingine. Ni njia ya kuboresha ujuzi wako huku ukijifurahisha na kujipa mazoezi kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu halisi.

Dhibiti moja kwa moja kila hatua uwanjani kwa njia ambayo Football Cup 2024 pekee linaweza kukupa!

Miondoko ya Kiasili ya Uchezaji, Upasiaji Sahihi na Mbinu za Undani vinaleta hisia ya kweli ya mchezo huu mzuri kwenye simu yako!

Programu hii ni ya mchezo wa mpira wa miguu nje ya mtandao. Furahia mchezo huu mzuri wakati wowote na sehemu yoyote.
Ilisasishwa tarehe
25 Apr 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Programu hii huenda ikashiriki aina hii ya data na watu wengine
Mahali, Utendaji na maelezo ya programu na Kifaa au vitambulisho vingine
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
Unaweza kuomba data hiyo ifutwe

Ukadiriaji na maoni

4.2
Maoni elfu 672
Deogratias Masunga
29 Novemba 2020
Si not good to goal kipe
Watu 37 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
James Naomba kufungua Danlod
24 Septemba 2020
Ni mbaya sana
Watu 32 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?
ALIFU ADAM
16 Machi 2021
ok
Watu 2 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Mapya

- Weather improvements
- Stadium changes