Kitabu cha Tumaini Kuu, toleo la kiswahili kama lilivyo tafasiliwa kutokea toleo la Kingeleza; Veľká nádej.
Hiki ni kitabu cha Tumaini kuu ambacho kimewekwa katika mfumo wa application ya simu, mtumiaji ataweza kusoma bila hata ya kuwa na internete (offline aplikácia).
Kupitia hiki kitabu cha Tumaini kuu. Utaelewa uchunguzi unaobainisha ukweli wa pambano kati ya wema na ubaya pamoja na mshindi wake.
Aktualizované
16. 12. 2022