Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu limetoa programu yake ya kwanza ya simu ya mkononi katika jitihada ya kuwasaidia watu kutoka kwa wito mbalimbali ambao wanatamani kuonekana kwa Mungu kuchunguza kazi ya Mungu ya siku za mwisho. Haina tu vitabu, muziki, na video za bure, bali unaweza pia kufurahia yote haya katika mazingira ya kuburudisha na yasiyo na matangazo ya biashara. Tunawakaribisha wale wote wanaochunguza njia ya kweli kutumia programu hii.
Programu ya simu ya mkononi ya Kanisa la Mwenyezi Mungu itakuongoza kufuata nyayo za Mwana Kondoo na kufurahia unyunyizi na riziki ya maji ya uzima yaliyo hai.

Nyumbani
Injili: Sehemu ambazo ni pamoja na Maneno Bora zaidi ya Mungu, Njia ya Kumjua Mungu, na Ukweli Zaidi wa Injili zitakuongoza kuelewa kazi ya Mungu ya siku za mwisho.
Habari: Taarifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na Mahojiano & Maoni, Habari za Kanisa, na Mbubujiko wa Habari za Tamasha la Filamu husasishwa kwa vipindi visivyo vya kawaida ili uweze kufahamu vizuri Kanisa la Mwenyezi Mungu.
Kufichua Ukweli: Sehemu hii inafunua uongo na kufichua ukweli, ikikusaidia kubaini ubunifu wa uongo na udanganyifu wa Shetani.
Ushuhuda: Hapa unaweza kupata ushuhuda wa watu wa Mungu walioteuliwa wakinyakuliwa mbele ya kiti cha enzi cha Mungu na kuokolewa, ushuhuda wa ukandamizaji na mateso na hatimaye kuwa mshindi, na zaidi, ukikusaidia kujua upendo wa Mungu na wokovu vyema zaidi.
Imani na Maisha: Ushuhuda wa kweli wa Kikristo kutoka nyumbani, kazini, na kuwafundisha watoto wao pamoja na aina mbalimbali za Maswali na Majibu kuhusu imani zitakusaidia kutatua utata na masuala unayoyakabili katika imani yako na maisha yako ya kila siku.

Vitabu
Pakua vitabu vya maneno ya Mungu na vitabu vya uzoefu na ushuhuda wa Kikristo kwa kubofya mara moja tu ili kuanza kufurahia riziki hii ya maisha mara moja.
Ukiwa na Hali-tumizi ya Nje ya Mtandao unaweza kusoma maneno ya Mungu ili uweze kuwa karibu na Mungu zaidi mahali popote na wakati wowote.
Fomula saidizi ya kuandika vidokezo kwa urahisi ili uweze kurekodi kile ambacho umejifunza wakati wowote kwa urahisi.
Geuza kiolesura kinachostarehesha ili kukufaa kwa kutumia mipangilio yaliyobinafsishwa kama vile uhuishaji wa ugeuzaji wa ukurasa, ukubwa wa fonti, na rangi ya msingi.

Video
Angalia video mpya kwa kubofya mara moja.
Tumeandaa maudhui mazuri sana ikiwa ni pamoja na usomaji wa maneno ya Mungu, filamu, kazi za kwaya, video za muziki ya nyimbo ya dini, na maonyesho mbalimbali ya kisanii ili kukuletea karamu kubwa ya Enzi ya Ufalme.
Tunga orodha za nyimbo na kuhifadhi video zako vipenzi.

Audios
Kwa Maktaba Sikizi ya mtandaoni unaweza kusikiliza nyimbo za sifa kwa Muumba wakati wowote na mahali popote.
Pakiwa na namna zote za mikusanyiko na aina nyingi kuchagua kwazo, unaweza kupata kwa urahisi muziki unaokufurahisha.
Tunga maktaba sikizi ya nje ya mtandao, pakua na kudhibiti nyimbo nyingi mara moja kwa matumizi bora zaidi ya nje ya mtandao.
Kulandanisha na maneno ya wimbo kunakuwezesha kuimba kwa kufuatana na wimbo.
Hifadhi au kusambaza muziki wako unaoupenda ili kuleta sifa na raha hizi kila mahali.
Binafsisha sehemu yako ya nyuma kulingana na hali ili kuruhusu sifa zako zifae hali yako vyema zaidi.
Usomaji wa maneno ya Mungu unakusaidia kuelewa mpango wa usimamizi wa Mungu wa miaka 6000 na mapenzi Yake ya kuwaokoa wanadamu.

Zaidi
Unapojiandikisha kwa akaunti unaweza kuingia kwa kubofya mara moja na kupitiapitia mihtasari yako, vialamisho, na maudhui mengine binafsi kwenye kifaa chochote kwa urahisi.
Wezesha taarifa za moja kwa moja ili kupata habari zote mpya kuhusu nyimbo, video, insha.
Katika mazungumzo ya moja kwa moja tuko hapa siku zote kusikiliza sauti ya moyo wako na kukusaidia kupata majibu.
Inapatikana katika lugha 26 tofauti kutoka duniani kote kwa hali inayokufaa.

Tafadhali wasiliana nasi ikiwa ungependa kujifunza zaidi.
Endelea kusoma
Kunja
4.9
Jumla ya 3,884
5
4
3
2
1
Inapakia...

Mambo Mapya

We made some improvements to the app to make it better for you.
Endelea kusoma
Kunja

Maelezo ya Ziada

Imesasishwa
4 Julai 2019
Ukubwa
20M
Usakinishaji
50,000+
Toleo la Sasa
4.0.2
Inahitaji Android
4.1 na mapya zaidi
Daraja la Maudhui
Vipengele Vinavyoshirikisha
Watumiaji Hushirikiana
Inauzwa na
The Church of Almighty God
©2019 GoogleSheria na Masharti ya TovutiFaraghaWaendelezajiWasaniiKuhusu Google|Mahali: MarekaniLugha: Kiswahili
Kwa kununua bidhaa hii, unatumia Google Payments na unakubali Sheria na Masharti na Ilani ya Faragha ya Google Payments.