Adiós, Sabata

1971 • Dakika 106
PG-13
Ukadiriaji
Kipengee hiki hakipatikani

Kuhusu filamu hii

Adiós Sabata ni filamu ya Spaghetti Western iliyotolewa mwaka 1971 na iliongozwa na bwana Gianfranco Parolini.
Ni toleo la pili la mfululizo wa filamu za Sabata, ziliongozwa na mwongozaji mashuhuri bwana Gianfranco Parolini. Katika filamu hii Yul Brynner amechukua nafasi kutoka kwa mwigizaji wa awali bwana Lee Van Cleef, ambaye alicheza katika Sabata ya kwanza na ya tatu.
Hapo awali filamu ilibidi iyende kwa jina la Indio Black, lakini jina lilibadilishwa kutokana kwamba filamu ya kwanza ilifanya vizuri kwa jina la Sabata na ikaonekana kuwa na wapenzi wengi kuliko. Filamu hii ilibdi acheze Lee Van Cleef, lakini Cleef hakucheza kwasababu alikuwa anacheza filamu ya The Magnificent Seven Ride, humo alitumia jina lile lile la Chris Adams, ambalo Brynner alibebea umaarufu katika filamu ya awali ya The Magnificent Seven.
Ukadiriaji
PG-13