Tupac: Resurrection

2003 • Dakika 111
R
Ukadiriaji
Kipengee hiki hakipatikani

Kuhusu filamu hii

Tupac: Resurrection ni filamu ya mwaka wa 2003 ambayo inaonesha maisha halisi na kifo cha rapa - hayati Tupac Shakur. Filamu, imeongozwa na Lauren Lazin na kusambazwa na Paramount Pictures, imehadithiwa na Tupac Shakur mwenyewe. Filamu ilianza kutolewa kwenye makumbi ya sinema mnamo tar. 16 Novemba 2003 hadi 21 Desemba 2003. Na kwa tarehe 1 Julai 2008, imepata zaidi ya dola za Kimarekani milioni 7.8, na kuifanya kuwa filamu ya kumi na mbili kuhusu maisha halisi ya msanii kupata mahela mengi nchini Marekani. Filamu pia imechaguliwa kwenye Academy Award.
Ukadiriaji
R