Watu Wote

2017 • Dakika 23
Kipengee hiki hakipatikani

Kuhusu filamu hii

Watu Wote ni filamu fupi ya mwaka 2017 iliyotengenezwa na watu wa Kenya pamoja na watu wa ujerumani, iliyoongozwa na Katja Benrath, kama mradi wake wa kuhitimu katika Shule ya Vyombo vya Habari ya Hamburg.
Filamu hiyo inatokana na shambulio la basi la Desemba 2015 lililofanywa na Al-Shabaab huko Mandera, Kenya