White Mischief

1988 • Dakika 100
R
Ukadiriaji
Kipengee hiki hakipatikani

Kuhusu filamu hii

White Mischief ni filamu ya 1987 ambayo inaigiza kuhusu matukio ya Kesi ya Mauaji ya Happy Valley nchini Kenya mnamo 1941, wakati Sir Henry "Jock" Delves Broughton alishtakiwa na kuhukumiwa kwa mauaji ya Josslyn Hay, Earl of Erroll.
Filamu hii ilielekezwa na Michael Radford akiangazia kitabu kilichatungwa na mwandishi wa habari wa Sunday Times, James Fox
Ukadiriaji
R